2
Na.13
Sheria ya Miamala ya Kielektroniki
2015
SEHEMU YA NNE
KUKUBALIKA KWA USHAHIDI NA UZITO WA
USHAHIDI WA UJUMBE WA DATA
18. Kukubalika kwa ujumbe wa data.
19. Chanzo cha mawasiliano ya kielektroniki.
20. Kuwasilisha nyaraka halisi katika mfumo wa kielektroniki.
SEHEMU YA TANO
UTAMBUZI WA MIKATABA YA KIELEKTRONIKI
21.
22.
23.
24.
25.
26.
27.
Utambuzi wa mikataba ya kielektroniki.
Muda wa kutuma na kupokea kwa mawasiliano ya kielektroniki.
Uthibitishji wa kupokea mawasiliano.
Mahali pa kutuma na kupokea mawasiliano ya kielektroniki.
Muda na mahali ambapo mkataba umefungwa.
Mikataba kupitia mifumo inayojiendsha yenyewe.
Mnada kupitia Mtandao.
SEHEMU YA SITA
ULINZI KWA MTUMIAJI
28.
29.
30.
31.
32.
Wajibu wa watoa huduma kwa watumiaji wa mtandaoni.
Muda kwa ajili ya utekelezaji wa agizo.
Haki ya usitishaji.
Taarifa zitakazotolewa katika mawasiliano yakielektroniki.
Bidhaa, huduma au mawasiliano ambayo hayajaombwa.
SEHEMU YA SABA
WATOA HUDUMA ZA KRAIPTOGRAFIA NA WAIDHINISHAJI
33. Huduma za kraiptografia na uidhinishaji.
31