Na.13

Sheria ya Miamala ya Kielektroniki

2015

26

(a) jina na mawasiliano yake, ikijumuisha anuwani ya
makazi, simu na barua pepe;
(b) maelezo
yanayohusu
aina
ya
huduma
itakayotolewa;
(c) maelezo ya madhumuni ya huduma itakayotolewa;
(d) maelezo yanayohusu teknolojia itakayotumika
katika utowaji wa huduma hiyo; na
(e) maelezo
mengine
yoyote
kwa
kadri
itakavyoelekezwa na msimamizi.
Katazo la kutoa
huduma za
kraiptografia au
uidhinishaji

36.-(1) Mtu hatatoa huduma za kraiptografia au
uidhinishaji bila ya kuwa na leseni.
(2) Mtu atakayekiuka masharti ya kifungu kidogo cha
(1) atakuwa ametenda kosa na iwapo atatiwa hatiani,
atawajibika kulipa faini isiyopungua shilingi milioni kumi au
kutumikia kifungo kwa kipindi kisichopungua miaka mitano
au vyote kwa pamoja.
SEHEMU YA NANE
MASHARTI YA JUMLA

Mamlaka ya
kutunga kanuni

37. Waziri anaweza kutunga kanuni kwa jumla zinazohusu jambo
lolote ambalo linatakiwa kuainishwa na Sheria hii au ambalo ni la umuhimu
kwa ajili ya utekelezaji bora wa masharti ya Sheria hii.

SEHEMU YA TISA
MASHARTI YATONANAYO
PART IX
CONSEQUENTIAL AMENDMENTS
(a) Amendment of the Law of Contract Act, Cap. 345
Construction
Cap.345

38. This Part shall be read as one with the Law of
Contract Act, hereinafter referred to as the “principal Act”.

Amendment of
section 10

39. The principal Act is amended in section 10 by
inserting the words “or in electronic form” immediately after
the words “in writing” appearing in the proviso of that
section.

56

Select target paragraph3