Na.13

Sheria ya Miamala ya Kielektroniki

2015

4

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

NA.13 YA 2015
NAKUBALI,
JAKAYA MRISHO KIKWETE
Rais
25 Aprili, 2015
Sheria kwa ajili ya kuweka utambuzi wa kisheria wa miamala ya
kielektroniki, huduma za Serikali mtandao, matumizi ya
Teknolojia ya Habari na Mawasiliano katika ukusanyaji wa
ushahidi, kukubalika kwa ushahidi wa kielektroniki;
urahisishaji wa matumizi ya saini salama za kielektroniki na
mambo mengine yanayohusiana na hayo.
[…………………….]

IMETUNGWA na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
SEHEMU YA KWANZA
MASHARTI YA UTANGULIZI
Jina na tarehe
ya kuanza
kutumika

1. Sheria hii itaitwa Sheria ya Miamala ya
Kielektroniki ya mwaka 2015 na itaanza kutumika kwa
tarehe ambayo Waziri, kwa Tangazo litakalo chapishwa
kwenye Gazeti la Serikali, atateua.

33

Select target paragraph3