SHERIA YA MIAMALA YA KIELEKTRONIKI, 2015
MPANGILIO WA VIFUNGU
SEHEMU YA KWANZA
MASHARTI YA UTANGULIZI
Kifungu
Kichwa cha habari
1.
2.
3.
Jina na tarehe ya kuanza kutumika.
Matumizi.
Tafsiri.
SEHEMU YA PILI
UTAMBUZI NA MATOKEO
YA MIAMALA YA KIELEKTRONIKI
4.
5.
6.
7.
8.
9.
10.
11.
12.
Utambuzi wa ujumbe wa data.
Uhalali wa muamala wa kielektroniki.
Saini ya kielektroniki.
Usalama wa saini ya kielektroniki.
Matumizi salama ya saini ya kielektroniki.
Utunzaji wa kumbukumbu kielektroniki.
Uthibitisho.
Mahitaji mengineyo.
Mwenendo wa mtu anayetumia saini ya kielektroniki.
SEHEMU YA TATU
HUDUMA ZA SERIKALI MTANDAO
13.
14.
15.
16.
17.
Utambuzi wa huduma za Serikali Mtandao.
Uwasilishaji wa nyaraka kwa njia ya kielektroniki.
Malipo ya fedha na utoaji wa stakabadhi kwa njia ya kielektroniki.
Uchapishaji wa nyaraka.
Nyaraka katika mfumo wa kielektroniki haitakuwa shuruti.
30