Constitution of Kenya, 2010
(b) The National Anthem
1
1
Ee Mungu nguvu yetu
Ilete baraka kwetu.
O God of all creation
Bless this our land and nation.
Haki iwe ngao na mlinzi
Natukae na undugu
Justice be our shield and defender
May we dwell in unity
Amani na uhuru
Raha tupate na ustawi
Peace and liberty
Plenty be found within our
borders.
2
2
Amkeni ndugu zetu
Tufanye sote bidii
Let one and all arise
With hearts both strong and true.
Nasi tujitoe kwa nguvu
Nchi yetu ya Kenya,
Service be our earnest endeavour,
And our Homeland of Kenya
Tunayoipenda
Tuwe tayari kuilinda.
Heritage of splendour,
Firm may we stand to defend.
3
3
Natujenge taifa letu
Ee, ndio wajibu wetu
Let all with one accord
In common bond united,
Kenya istahili heshima
Tuungane mikono
Build this our nation together
And the glory of Kenya
Pamoja kazini
The fruit of our labour
Kila siku tuwe na shukrani.
Fill every heart with thanksgiving
169